WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 949
Nadhani nikijua kama mwanasiasa Sidhani kama kutakuwa na kosa.Mawakili wapo kwa ajili yako, una papara za kwenda wapi?
Hayo yote unataka kuyajua ili ufanye nini?...
Mwanasiasa unatakiwa tu kupiga propaganda na blah blah mradi mkono unaenda kinywani!Nadhani nikijua kama mwanasiasa Sidhani kama kutakuwa na kosa.
Sitaki na siji fanya siasa za namna hiyo.Mwanasiasa unatakiwa tu kupiga propaganda na blah blah mradi mkono unaenda kinywani!
Haya mengine tuachie tukusaidie chief!