Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 723
- 1,157
Kuna watu bado mnasoma ualimuHivi karibuni Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza maombi ya mafunzo ya ualimu ambayo deadline ya kuomba ni kesho kutwa.Naona ukiingia utakuta kuna options ama njia mbalimbali za kulipia. Cha ajabu haijaelezwa muombaji anatakiwa kulipia shilingi ngapi!Mwenye ufahamu msaada tafadhali
Ndiyo.Tuko wengi tu aiseeKuna watu bado mnasoma ualimu
Ww unataka wasome nn,mtoto wako atafundishwa na nan,acha kupotosha vjanaKuna watu bado mnasoma ualimu
Walimu ni wengi sana mtaani mkuuWw unataka wasome nn,mtoto wako atafundishwa na nan,acha kupotosha vjana
Duuh kazi ipoNdiyo.Tuko wengi tu aisee
Umeongea kitu kizuri Sana.Wafunge vyuo vya ualimu, wavifungue 2040 kwa ajiri ya kureplace.
70% ya walimu watastaafu kuanzia 2045
Yes,nilifanikiwa kulipia na kijana alishakua selected.Samahani,ulifanikiw kulipia??
Ndugu yangu tatizo la ajira ni la kidunia. Hivi leo fani gani inauhakika wa ajira?Hakuna hata moja. Ila ninakuhakikishia ipo siku Walimu wengi watapata ajira. Uhitaji bado ni mkubwa, udahili wa wanafunzi unaongezeka, idadi ya watu inaongezeka kwa kasi na mashule yanaongezeka kila uchao. Mtaajiriwa tu siku mojaUmeongea kitu kizuri Sana.
Naumia.sana pale ninapo ona wadogo zangu wengi wakiomba kwenda kusoma kozi ya ualimu.
Huku graduates nikiwemo Mimi tukiwa tumepigwa bench kitaaa
Ajira elfu Sita tulioomba zaidi ya elu 90 nafikiria baada ya miaka 3 au 4 itakuaje
Yote kwa yote Ni kumuachia Mungu kila mmoja anabahati yake.