Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bata analiwa? achana na hiyo kitu....! bata ni pet kama walivyo paka na mbwa.......
wewe unaishi wapi ambako bata haliwi?!!
Kwetu paka na mbwa tunakula pia
Kwetu paka na mbwa tunakula pia
Bata analiwa? achana na hiyo kitu....! bata ni pet kama walivyo paka na mbwa.......
ukitaka asiwe na shombo, mwekee chumvi, thoum, tangawiz na limao usisahau, kisha mbanike kwanza. baadae uendelee na design zako za upishiSalaams.
Nahitaji kuchinga bata wangu walau leo nami nijinafasi lakin sijui namna gani ya kumuandaa ili asiwe na shombo.
Msaada pls.