Najiona Mimi
Member
- Aug 15, 2020
- 74
- 87
Hiyo ni suede
Sijui upo mkoa gani nenda maduka ya Woiso zipo dawa zinaitwa Heron chukua nyeusi.
Kwanini unataka kunyima watu riziki?
Pelekea wasafisha viatu wanajua nini cha kufanya.
Hali ya uchumi mbaya,mambo yangekua mazur ningepeleka kila mtu anakula ridhiki lwa njia yake
Ipo product yake ya kusafishia hizo materials za kitambaa au fabric ya suede. Hii fabric haitakiwi utumie maji au sijui petrol kama baadhi ya watu wanavyodai.....
We nenda town kariakoo utapata hiyo cleaning product yake.....
Ikiwa ni hivyo,fuata ushauri wa wataalam nenda kanunue dawa take maalum ya kusafishia IPO kwenye vichupa virufu, ni ya maji.