kwa anayejua utaratibu wa namna ya kununua hisa kwenyesoko la DSE
mkuu sinewy kiukweli bihashara ya hisa inalipa sana ukiwa serious na ukapata sehemu nzuri ya kuwekeza hisa zako kuna jamaa mmoja namfahamu anaitwa kaundama alikuwa ana hisa zake katika benki ya nmb baada ya mgawo jamaa kapata profit kubwa na amefungua hoteli ya gorofa 7 mkoani iringa cha muhimu fika katika ofisi za DSE (dar es salaam stock exchange kwa maelezo kuhusu hisa!!!!!
kwa anayejua utaratibu wa namna ya kununua hisa kwenyesoko la DSE
thanx wadau kwa ushauri wenu nitawaletea mrejesho