UnaumwaWakuu kwa jinsi ninavyoijua Jamii Forums nina hakika humu siwezi kukosa wataalam wa hizi kazi,, maana nimejaribu kuwapigia Dstv hawajaweza kunisaidia,,
Sababu ya kuiondoa : kwakweli nisiwe mnafiki nachukia chochote kutoka Zanzibar
Nasubiri mrejesho wakuu,,
Labda,, itakua ugonjwa gani ndugu Bush DoktaUnaumwa
Sheikh, mavi huwezi kuyachukia kwa sababu yanaongeza mbolea ya kurutubisha mimea yetu. Ila Zanzibar wenyewe ni kupe tu wanaoinyonya Tanganyika na watu wake tangu 1964. Kwa hiyo uko sahihi kabisa kuichukia kama ilivyo kwa mtoa mada, na hata mimi hapa. Ninaichukia Zanzibar!Upo Kama mm naichukia Zanzibar na watu wake kuliko hata mavi
ApedomiaLabda,, itakua ugonjwa gani ndugu Bush Dokta
Hapa yenyewe naangalia mpiraHv kumbe Kuna watu bdo mnaangalia tv ππ
Bora yako wengine wanawasha tv et wanaweka tbc ππHapa yenyewe naangalia mpira