Msaada, namna ya kuondoa michirizi mikononi

Msaada, namna ya kuondoa michirizi mikononi

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
Jamani wadada msaidieni mwenzenu huku michirizi mikononi inamtoka kwa kasi sana. Kama kuna tiba au mafuta ya kupaka. Na weupe alio nao ndo balaa. Ni mikononi tu wala nyuma ya magoti hana hata kiunoni pia hana.
 
Tumia olive oil au coconut oil (especially homemade) ni nzuri sana, au Mamado oil therapy ( hii utaipata HS Amon). Hizi zote zinasaidia sana sana. Ila uwe na uvumilivu tuu michirizi huchukua muda kidogo kutoka, hata miezi miwili.. Afu michirizi huwa haiishi. Inafifia tuu.. Good luck
 
Asante sn
 
Nunua ULTIMATE ORGANICS SHEA AND COCOA BUTTER LOTION na oil yake uwe unapaka.... Pia kama unatumia cream za steroids acha au punguza
 
Punguza cream kama unatumia then utumie mafuta ya nazi uwe una massage sehemu husika.....
 
Back
Top Bottom