Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Habarani wataalam, nimekuwa Nikipata tatizo la email yangu kupokea notifications za Facebook,Jamii Forums, Twitter, Quora na hii imesababisha email yangu kuwa bize Kila dakika.
Pia nashindwa kupata email muhimu maana zikianza email za Facebook zinaweza ingia hata 30 na kuficha zile za muhimu.Quora nao usiseme ni Fujo tupu Kwa siku sio chini ya email 15.Hivyo napokea email nyingi zisizokuwa na umuhimu.
Naomba msaada niweze kudisconnect notifications za Social media zisiweze kuingia Tena kwenye Email zibaki huko huko kwenye apps.