Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Hii itafuta sehemu yoyote uliyologin na google sio email tu.Ingia google settings ya akaunti yako.
Ukigusa pale kwenye picha yako, utaona sehemu pameandikwa manage your Google account.
Halafu ingia security
Utashuka chini na utaona apps zote ambazo umesign-in kupitia Email yako ambazo sasa ndio zinakutumia hizo emails usizozitaka.
Chakufanya hapo ni kuangalia n apps zipi huihitaji kupata email zake kwa kuzibonyeza hizo apps na chini kabisa utaona kipengele cha delete all connections you have with (jina la apps husika)
Hapo utakuwa umemaliza ila itakuwa imebaki jambo moja la kurudi JF na kunitafuta mimi ili nkutumie namba yangu ya MPESA ili unitumie chochote kitu mana mimi ni jobless na sina kitu 😭
Ishu n email unaotumiwa na hizo apps si ndio? Bc kwa kufanya hvy unakuwa umevunja connection ya hizo apps hvy hawatoweza kukutumia Email ila bado utakuwa unaweza kupata huduma zao.Hii itafuta sehemu yoyote uliyologin na google sio email tu.
Duuh..hii nayo unashindwa mzee wangu 🤔Habarani wataalam, nimekuwa Nikipata tatizo la email yangu kupokea notifications za Facebook,Jamii Forums, Twitter, Quora na hii imesababisha email yangu kuwa bize Kila dakika.
Pia nashindwa kupata email muhimu maana zikianza email za Facebook zinaweza ingia hata 30 na kuficha zile za muhimu.Quora nao usiseme ni Fujo tupu Kwa siku sio chini ya email 15.Hivyo napokea email nyingi zisizokuwa na umuhimu.
Naomba msaada niweze kudisconnect notifications za Social media zisiweze kuingia Tena kwenye Email zibaki huko huko kwenye apps.
Kuna option ya ku unsuscribe mbona?Habarani wataalam, nimekuwa Nikipata tatizo la email yangu kupokea notifications za Facebook,Jamii Forums, Twitter, Quora na hii imesababisha email yangu kuwa bize Kila dakika.
Pia nashindwa kupata email muhimu maana zikianza email za Facebook zinaweza ingia hata 30 na kuficha zile za muhimu.Quora nao usiseme ni Fujo tupu Kwa siku sio chini ya email 15.Hivyo napokea email nyingi zisizokuwa na umuhimu.
Naomba msaada niweze kudisconnect notifications za Social media zisiweze kuingia Tena kwenye Email zibaki huko huko kwenye apps.
Asanteni Sana sasahivi zile email haziingi Tena nimeweza ku unsubscribe.Fungua hiyo email chini kutakuwa na link ya Unsubscribe bonyeza hapo itakupeleka hiyo site katika setting zake za notification za email ambapo utaweza kuzima.
Kama unatumia Gmail pia ina option ya Unsubscribe ndani yake kwa baadhi ya email, kwenye simu unabonyeza vidoti juu kulia ukishafungua email.
Likishindikana hilo unaweza kublock emails kama SPAM au kutengeneza filter ili hizo email zisiwe zinaingia inbox bali zinaenda folder nyingine.