msaada namna ya kupata medical examination ya Udom

msaada namna ya kupata medical examination ya Udom

kajuka

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
601
Reaction score
229
naomba mnisaidie ntapataje hiyo form maana kwenye web siioni.
 
Fungua website ya chuo,angalia chini sehem ya column ya QUICK ACCES click admission letter,fuata maelekezo ya kulogin form then download other document ambayo itakuwa attached na medical exam form.
 
kwa sasa upo wapi kama dar nikuelekeze sehem kwenye internet cafe moja ameshazisave fomu zote za udom kasoro admission letter mpaka uingie na password!
 
username unaeka nini? Na pasword ni nini?

kwenye username weka index no ya form 4 mfano
S0004/0300/2010
kwenye password weka jina la mzazi mfano kama unaitwa NEW RASHIDI MAYASA sasa weka neno MAYASA itafunguka!
 
Haya mambo mengine yanajaza server tu,ina maana umeshindwa kufungua website yao?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
asante wakubwa kwa sasa ni udom block T
 
Back
Top Bottom