Msaada: Namna ya kupata Mkopo Bank

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
Habar wana jf
kwanza napenda kutambua uwezo mkubwa uliopo humu jf hasa katka jukwaa hili muhimu la biashara kwani wengi tunapata ujuzi na elimu ya bure ambayo hatuwezi kuipata sehemu nyingne...ngoja niende kwenye hoja ya msingi;
ningependa kupata elimu kidogo juu ya kupata mkopo kwa kampun ambayo haina mtaji lakini inataka kukopeshwa kutoka bank ili ifanye kaz zake....kwan kuna kampun nyingi ambazo nmesikia zimenufaika na mikopo ya bank hata kwenye acount zao hakuba hata pesa..ningependa kupata ufafanuz wa nini cha kufanya na kama kuna ushauri mwingine wowote pia wa kujenga nipo tayari kuupokea..natanguliza shukran zangu kwenu.
 

Benki wanakukopesha 40% ya mtaji wa biashara yako. Wewe umesema una kampuni, hujasema aina ya kampuni.
Basically lazima akaunti ya benki iwe na pesa na mtiririko wa kueleweka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…