Msaada: Namna ya kupata nakala ya online ya kitambulisho cha NIDA

Msaada: Namna ya kupata nakala ya online ya kitambulisho cha NIDA

Kuna wajanja huwa wanaipata hii ONLINE COPY licha ya kuwa imesitishwa sijui wanafanyaje wale jamaa
 
Habari,

Namba ya NIDA ninayo ila nina shida ya online copy naomba namna ya kupata.
Kwa kukusaidia nenda banki ongea na wahudumu wa huduma kwa wateja ukimpatia namba anakutolea chapu tu.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Kuna jamaa leo kanidownloadia ID yangu kwa buku 5 tu aicee nimeangaika kwa zaid ya miaka mi4
 
Back
Top Bottom