jaxonjaxon JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 217 Reaction score 136 Mar 9, 2015 #1 Jamani naomba mnisaidie, Mdogo wangu kamaliza form four mwaka Jana, anahitaji result slip ili aitumie kutafuta vyuo, shuleni kwao(yupo kijijini) hazijatoka bado. Je naweza kuipata wapi?
Jamani naomba mnisaidie, Mdogo wangu kamaliza form four mwaka Jana, anahitaji result slip ili aitumie kutafuta vyuo, shuleni kwao(yupo kijijini) hazijatoka bado. Je naweza kuipata wapi?
kitwala JF-Expert Member Joined Aug 31, 2012 Posts 1,476 Reaction score 1,066 Mar 9, 2015 #2 Huwa zinatumwa mashuleni, hivyo wasiliana na wahusika ktk shule aliyosoma ili zikishawafikia wakutaarifu.
Huwa zinatumwa mashuleni, hivyo wasiliana na wahusika ktk shule aliyosoma ili zikishawafikia wakutaarifu.