Msaada namna ya kupata visa ya Australia

akamik

Member
Joined
May 20, 2018
Posts
24
Reaction score
4
habari za leo wanajamvi., samahani naombeni msaada jinsi YA kupata visa ya Australia yaani vitu gani napaswa kuambatanisha? .nimeomba mara ya kwanza nimenyimwa nimeambiwa niseme evidence kwamba nitarud na siwez kuzamia huko sasa sijajua niweke vitu gani.msaada tafadhal
asante
 
weka hizo evidence sasa either labda ticket ya go and return, mahali utapofikia kama kuna mwenyeji wako huko na yeye akiri kweli utarudi baada ya muda fulani,

pitia website yao itakueleza vizuri.
 
Uwe na mali isiyo hamishika mfano Kazi, au umeoa maana kama Una mke na mtoto watajua huwezi kuzamia coz umeacha familia tena unawaambia wewe ndiyo tegemezi kwenye familia na wazazi wako wanakutegemea wewe, ikibidi nenda na picha ya ukiwa umepiga wewe na familia hata kama ya kofoji kwa mke wa mtu hapo watajua huwezi kuzamia mkuu, kama umeajiriwa inabidi uambatanishe na fomu ya ruhusa kutoka kwa mwajiri Wako watakujua huwezi kukimbia kazi..

Mkuu kama umeoa ambatanisha cheti cha ndoa pia.
 
weka hizo evidence sasa either labda ticket ya go and return, mahali utapofikia kama kuna mwenyeji wako huko na yeye akiri kweli utarudi baada ya muda fulani,

pitia website yao itakueleza vizuri.
asisahau balance ya pesa inayohitajika.
 
Hiyo nchi siipendi mana team zake zinachana sana mikeka hahahahahahahahahahha (Joke)
 
cc.mangatara, lusungo, jerrymsigwa n.k
 
weka hizo evidence sasa either labda ticket ya go and return, mahali utapofikia kama kuna mwenyeji wako huko na yeye akiri kweli utarudi baada ya muda fulani,

pitia website yao itakueleza vizuri.
asante.nilifanya ivo mara ya kwanza
 
no mjasiliamali na sijaolewa sasa hapo naweka nini [emoji4]
 
Kama umeoa na familia yako ipo tz basi weka cheti pia, kama una hati ya nyumba nayo weka
 
Ukifanikiwa kupata visa ya Australia usibebe chochote zaidi ya nguo. Utaadhirika ukibebanunga wa ugali na dagaa kigogo wa hamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…