Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,457
- 874
Asante mkuunena ubalozini ama ingia website yao naimni utapata maelezo mkuu....kila la kheri!!
Kuwa muangalifu. Kwa kawaida work permit inaombwa na aliyekupa ajira.Habari wakuu, nipo Tz kwa Sasa, naomba utaratibu wa kupata work permit nchini Uiingereza.
Niliomba kazi huko kupitia agency online ambayo iko registered na home affairs ya UK, nikafanya interview na nimetumiwa job offer na kutakuwa kuisaini, Kisha niwafowadie work permit ili watume nauli na transport allowances.
Naomba kuwasilisha
Kama kuna malipo umefanya Nigerian boys wameshakupiga, andika maumivu.Habari wakuu, nipo Tz kwa Sasa, naomba utaratibu wa kupata work permit nchini Uiingereza.
Niliomba kazi huko kupitia agency online ambayo iko registered na home affairs ya UK, nikafanya interview na nimetumiwa job offer na kutakuwa kuisaini, Kisha niwafowadie work permit ili watume nauli na transport allowances.
Naomba kuwasilisha
Uangalifu UPI Tena? ameshapigwa tayari.Kuwa muangalifu. Kwa kawaida work permit inaombwa na aliyekupa ajira.
Kichekesho. Uko Bongo, wao wako UK, halafu wanakuambia wewe utafute work permit! Kwa nini wao wasikutafutie? Angalia sana.Habari wakuu, nipo Tz kwa Sasa, naomba utaratibu wa kupata work permit nchini Uiingereza.
Niliomba kazi huko kupitia agency online ambayo iko registered na home affairs ya UK, nikafanya interview na nimetumiwa job offer na kutakuwa kuisaini, Kisha niwafowadie work permit ili watume nauli na transport allowances.
Naomba kuwasilisha
Mpaka hapo tayari ameshapigwa Sasa wanamtupa.Ikifika muda wa kuambiwa utume hela ya work permit ujue ndo tayari unapigwa
work permit inalipiwa katika visa unayomba ...visa yako ya kuja kufaya kazi hailipwi na aliyekupa offer ya kazi uk bali wewe unalipa fee ya hiyo category unyokwenda kuomba......Habari wakuu, nipo Tz kwa Sasa, naomba utaratibu wa kupata work permit nchini Uiingereza.
Niliomba kazi huko kupitia agency online ambayo iko registered na home affairs ya UK, nikafanya interview na nimetumiwa job offer na kutakuwa kuisaini, Kisha niwafowadie work permit ili watume nauli na transport allowances.
Naomba kuwasilisha
Unajuwa aina ya kazi unazoweza kuomba work permit kutokea nchi yako?work permit inalipiwa katika visa unayomba ...visa yako ya kuja kufaya kazi hailipwi na aliyekupa offer ya kazi uk bali wewe unalipa fee ya hiyo category unyokwenda kuomba......
NOTE: hata siku moja husilipe pesa kwa sababu hawafanyi hivyo
work permit unapewa katika visa yako unyoomba na wao wanaokupa hiyo offer ya kazi watakupa barua amabyo itawekwa ktk maombi yako ya working visa na ukifika uk unakuja kuomba NI number kwa kutumia visa yako ya kuruhusiwa kufanya kazi ukKichekesho. Uko Bongo, wao wako UK, halafu wanakuambia wewe utafute work permit! Kwa nini wao wasikutafutie? Angalia sana.
Inategemea na kazi unayokwenda kuomba au Umeomba tayari na kampuni husika watakutumia barua ya offer ambayo ndiyo unaweka ktk application yako ya working visa utakayo Fanya ktk nchi yako . Kazi zozote unaruhusiwa kuomba na ukapata work permit , kuna kazi Mfano upande wa afya wanataka watu especially NHS ilikuwa na shida sana na bado wanaupungufu wa doctors na nurses na wataalamu wengine , kazi hizi Hata Kama hauna barua ya offer wanaweza kukupa visa ya kuja kufanya kazi …..Wanatangazaga sana matangazo ya kuja huku ktk embassies zetu lakini cha ajabu Kenya ndiyo wanachangamka sana sisi tunakuwa nyuma sanaUnajuwa aina ya kazi unazoweza kuomba work permit kutokea nchi yako?
Sisi ule mwenge wa kishirikina ndio unatucost, mpaka tutakapoutekeza ule mwenge wa kishirikina Taifa ndio litaponywa.Inategemea na kazi unayokwenda kuomba au Umeomba tayari na kampuni husika watakutumia barua ya offer ambayo ndiyo unaweka ktk application yako ya working visa utakayo Fanya ktk nchi yako . Kazi zozote unaruhusiwa kuomba na ukapata work permit , kuna kazi Mfano upande wa afya wanataka watu especially NHS ilikuwa na shida sana na bado wanaupungufu wa doctors na nurses na wataalamu wengine , kazi hizi Hata Kama hauna barua ya offer wanaweza kukupa buza ya kuja kufanya kazi …..Wanatangazaga sana matangazo ya kuja huku ktk embassies zetu lakini cha ajabu Kenya ndiyo wanachangamka sana sisi tunakuwa nyuma sana
Kivipi boss?Mwamba kausha tu. Washakufanyia yao
Mambo haya run hivyo.
Nipo makini Sana, niliomba kujua procedures tu na ushauriñIkifika muda wa kuambiwa utume hela ya work permit ujue ndo tayari unapigwa