bhunonukid
Member
- Jul 3, 2016
- 11
- 18
thanks kwa kunijuza ivooNiliona pale mlimani city wao wanaweka sukar kwenye machine ya popcorn baada ya kuweka mahindi, ila kwa pia wanakosea.... Kww ninavyojua mimi kuna kitu inaitwa caramel sijui inapatikaba wapi hiyo ndo inatumiwa na wenzetu wa nje kufanya sweet popcorn
Instead of chocolate kwanini usimtumie cocoa mkuu ile yenye sukarhata mie nnayo mashine ya pop corn ila nmekuja na mtindo wa kuchanganya na chocolate ndani yke kwa kuzikata small particle