Msaada namna ya kupunguza kitambi

Broxine

Member
Joined
Dec 23, 2016
Posts
29
Reaction score
20
Wadau nimekuwa nikitumia njia kadha kupunguza kitambi ikiwepo kufanya mazoezi kwa bidii,kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi na kufanya diet.Lakini naona juhudi zangu zinagonga mwamba naelekea mwaka bila mafanikio.Mwenye njia ya ziada anisaidie...
 
Mkuu njia gani ya ziada unayotaka Kama ile ya kuzaa kuku au ipi..? Maana hilo neno ya ziada ni pana sana..πŸ˜…
 
Pole sana mkuu, kweli kitambi ni changamoto sana
 
Hujapiga mazoez inavyotakiwa unakimbia dk 10 unasema umepiga zoez kimbia masaa mawil kila siku uone unavyopungua
 
Ukiona mtu mzima anataka kupunguza kitambi ujue lipo lililomkuta hasa kitandani πŸ˜‚

Turudi kwenye mada angalia vyote vinavyosababisha uote kitambi kisha nenda navyo kinyume. Kwa kuanza badala ya chai uwe unapiga zako ndizi mbivu au kutafuna kabechi mbichi kila asubuh wiki mbili tu utaona matokeo
 
Mazoez Gan unafanya ayo mpka kitambi kisipungue! + kufnya diet. Kuna sehemu upo wrong... Jichunguze mwenyewe
 
Hebu mkuu ifafanue hii. Nimepata babe mpya ambaye yeye tulisoma wote shule moja primary miaka hiyo nilimtangulia. Sasa hajaniona for miaka kadhaa kaniona hivi karibuni basi anakomaa nipungueπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…