Msaada namna ya kurudisha muamala NMB mobile app

Msaada namna ya kurudisha muamala NMB mobile app

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Habari zenu wadau.

Nilikuwa nataka kumtumia mtu hela kupitia NMB MOBILE APP.Bahati mbaya nimekosea namba yake ya mwisho ya account na hela imeenda kwa mtu mwingine (nilikuwa busy sikuzingatia sana jina la Acc).Nimeangalia vipengele kwenye NMB MOBILE APP sijaona option ya kurudisha muamala.

Naomba kujua nawezaje kurudisha hiyo hela.
Asante.

Update:Nimewasiliana na huduma kwa wateja wameniahidi kulishughulikia na watanijulisha.

Asanteni wote.
 
Hakuna namna ni kuwapigia wao, ili waanze mchakato wa kuirudisha.
 
Back
Top Bottom