Msaada namna ya kutibu miguu iliyopasuka(machacha)

enoswilliam

Member
Joined
Apr 12, 2014
Posts
39
Reaction score
0
kwa yeyote anayefahamu namna ya kutibu miguu iliyopasuka (machacha) anisaidie.
 
mkuu pole kama una no ya whatsapp nitumie nikutumie picha na dawa zitaondoa hilo tatizo lako
 
Ongeza uvaaji wa viatu, na ukitoka kuoga paka mafuta au glycerin then ndo uvae viatu,

Hyo mambo haina shortcut
 
kwa yeyote anayefahamu namna ya kutibu miguu iliyopasuka (machacha) anisaidie.

Machacha si bendi ya diblo dibala? Any way wahindi wanatibu sana hilo tatizo kuna dawa ntakutumia jina lake iliwahi kumsaidia jamaa yangu ila sina hakika kama tz zipo hizo dawa
 
Uwe una safisha miguu na kuvaa close shoes mara kwa mara.
 
pia ukioga jion paka lotion af ulale na socks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…