Daah! Na mimi pia napata changamoto hiyo. Jamii forums ni kubwa sana tusubiri tutapata msaada.Polee Sana ndugu,
Hilo tatizo ndilo nalopata hapa, nimejaza kila kitu page ya username na password inafeli maana Hakuna feedback kwenye email Wala sms za kawaida
Kabisaaa, itakuwa nacte mtandao unasumbuaDaah! Na mimi pia napata changamoto hiyo. Jamii forums ni kubwa sana tusubiri tutapata msaada.