Okay, unamaanisha kama matumizi ya siku hiyo yanafika 13,000 mfano, nitoe hiyo kwenye 40k ya mauzo ndipo 30% ya kinachobaki nisave? Na vipi kuhusu viwango vya kusave, hii nayoifikiria asilimia 30 ni kubwa mno, ndogo sana au haina shida?Tunza sehemu ya faida then nyingine fanya matumizi na kukuza mtaji wako.
ukitunza sehemu ya mauzo pasipo kutoa matumizi huenda ukajikuta mtaji wote umeuhifadhi benki yaan ni kama serikali inavyokusanya kodi kubwa alafu inarudisha pesa kidogo kwenye mzunguko tena interms of salaries kwa watumishi so ipo siku tutajikuta pesa yote iko hazina alafu mtaani hatuna kitu.
Tunza faida.... Baada ya kutoa cost zote kinachobaki peleka benki.
Cna ujuz sana na mamb ya uchumi or accounts but kwa biashara ninayoifanya nimejiwekea saving amount ya 5% kwa mauzo ya kila cku....Okay, unamaanisha kama matumizi ya siku hiyo yanafika 13,000 mfano, nitoe hiyo kwenye 40k ya mauzo ndipo 30% ya kinachobaki nisave? Na vipi kuhusu viwango vya kusave, hii nayoifikiria asilimia 30 ni kubwa mno, ndogo sana au haina shida?
umenisaidia sana aisee asante sana mkuuuCna ujuz sana na mamb ya uchumi or accounts but kwa biashara ninayoifanya nimejiwekea saving amount ya 5% kwa mauzo ya kila cku....
Kwa kfup iko hivi nafanya biashara ya jumla(nauza yebo yebo) xo napata net profit ya 300 tsh kwa kila pea ninayouza na nauza hadi pea 300 kwa cku, kama kila pea nitauza kwa 2500tsh inamaana ninamauzo ya 750000 kwa cku..
Kwa hesabu za 5% kama saving amount itakua
750000 X 5% ambayo ni 37500
Kwaiyo 37500 ambayo ni 5% ya mauzo yangu ndio kiasi nitakachoweka kwa cku kama akiba kwa mauzo ya 750000.
Sasa je haita athir mtaji wangu? Tuje kwenye faida kwa cku
Kama napata 300 kwa pea na nauza pea 300 kwa cku inamaana napata faida ya 90000tsh net kwa cku (300 x 300 = 90000)
Faida kwa cku - saving amount = inaathir au haiathir.
90000 - 37500 = 52500
Jibu haiathir bali inaongeza mtaji...
Xo conclusion weka kiasi ambacho kitaruhus biashara yako kukua bila kuingiza mtaji mwingine any percent below 10 nahis itafaa, lower your expectations when it possible but always dream big.