Nimefanya muamala wa ku deposit money Mbet kwa bahati mbaya haikufika na nikaambiwa hivi "Dear customer,your transaction is currently being processed.Please contact customer care for assistance "
Baada ya hapo nimepiga number 100 huduma kwa wateja sijasikia sehemu ya kuzungumza nao.
Hiyo ni tangu saa 15:27hr mpaka sasa sijapata sms yoyote kunijulisha kinachoendelea
Kila jirani yangu nayemuuliza ananiambia kama ni Airtel nisahau hiyo hela kurudi.
Msaada please