Msaada namna ya kuwapata wahudumu wa Bar na namna ya kuendesha biashara hii

Msaada namna ya kuwapata wahudumu wa Bar na namna ya kuendesha biashara hii

Mabrek

Senior Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
125
Reaction score
21
Hahabari wana jamiiforums wenzangu kwanza poleni na majukumu ya kila siku katka kulisukuma gurudumu la maendeleo! Tatzo langu ni kwamba nimepewa kaz as a manager katika Bar ambayo kiukweli cna uzoefu nayo lakn kwa mtizamo wangu wa harakaharaka inahtaj mabadiliko mengi nikianza na kuajil wahudumu wapya kwani waliopo washa zoea kaz mpaka wamepitiliza. Kadharika nahtaj kufufua jiko kwani lipo tatzo halina mtu stahk wa kumanage.

Pia kuna ushndan wa hali ya juu na wenzangu wa karibu. Kikubwa nawaomben mawazo yenu juu ya hayo na mengne meng ili kuniinua kijana mwenzenu katika maendeleo.asanteni na karibun.
 
Biashara yoyote ifanikiwe inapaswa iwe ni customer driven business.... wasikilize hao wateja wachache ulio nao na uyafanyie kazi.
 
Back
Top Bottom