Hakuna mabishano... Its reality... Kuna cultured milk(mtindi) and yoghurt.. Jaribu kujifunza utofauti wake utauona.. Ukishindwa ni pm nikupe darasa.. Na utaleta mrejesho humu ndani...Ok eleza tafaut yake kwa kutuelezea wanavotengeza uo mtindi na yoghurt kuliko kuweka mabishano[emoji4]
Kutokea kwa maji kwenye maziwa baada ya kugandisha ni dalili kwamba maziwa fresh uliyotumia hayakuwa bora au low quality milkMaziwa fresh yasiyochemshwa,yaweke ndan ya chombo cha kigae,mm natumilia jug la kigae,yafunike,na uyawache for two days,alaf funua,maji maji mepes yatakua chin ya jug,mtind utakua unaelea juu,utauchukua mtind wako,utakua tayar,uhifadh ktk fridge,,mm napenda nkishautoa natia ktk bleander natia na vanilla nasaga,then natia ktk fridge
Kutengeneza kwako kila siku hakujustify kwamba unatengeneza kitu kilicho sahihi.. Siku zote kujifunza hakufikiagi mwisho... Kila siku watu wanajifunza vitu vipya...Watu wengine washamba,mm kila wiki natengeza na nakula na familia nzima ww na ubishi wako,elezea lete maelezo ya majibu ya mtoa mada
Kuna bacteria special wanaowekwa kwenye maziwa ambayo yamekuwa pasteurized. Kwa nyumbani, chukua yogurt kidogo iweke kwenye maziwa ya uvuguvugu iwe Kama starter. Iache nje, sina uhakika na muda mpaka iwe tayari.Yogurt in english mtindi kiswahil,i cant see any difference
Wanashughulika na nini?Nenda Promaco limited wako pale mataa ya kamata opposite kuna jengo flani la blue... ladha zote unapata ushauri wako vzr sana sector hiyo
sawa mwerevu,Mongo mkubwA yogurt haitengenezwi hivyo
kamaunajua njia nzuri ya kutengeneza yogurt kwann usiweke hapa kwenye uzi kwa faida ya kila mmoja mkuu, Arab Queen amefunga vzuri jinsi yeye anavyo fanyaga {ambapo amenisaidiasana} kwann sasa na wewe usifunguketu kwa upendo johHakuna mabishano... Its reality... Kuna cultured milk(mtindi) and yoghurt.. Jaribu kujifunza utofauti wake utauona.. Ukishindwa ni pm nikupe darasa.. Na utaleta mrejesho humu ndani...
Atakua amekuelewa...Kuna bacteria special wanaowekwa kwenye maziwa ambayo yamekuwa pasteurized. Kwa nyumbani, chukua yogurt kidogo iweke kwenye maziwa ya uvuguvugu iwe Kama starter. Iache nje, sina uhakika na muda mpaka iwe tayari.
Msipendelee kunywa maziwa mabichi. Yanaweza kuwa na bacteria wabaya
nafikiri hapa somo limeleweka... Tatizo watu hatupendi kujifunza..Yoghurt ni tofauti na mtindi, hasa wakati wa kuwawezesha bacteria kufanya uwe mtindi au iwe yoghurt, Bacteria wa mtindi wanaweza kuufanya mtindi ukawa mtindi kwa masaa kuanzia 16 katika room temperature, ukichukulia hata kwetu tz room temp ndio hio kuanzia 25c kuendelea. wakati kwa yoghurt inabidi uwe na chumba maaluum cha kuhifadhi joto la nyuzi 40C hadi 43C kwa masaa kuanzia matatu.
KWA YOGHURT.cha msingi chukua maziwa mabichi yachemshe huku ukiyakoroga, hakikisha yamechemka. halafu yapoze hadi nyuzi joto 42c, kama huna bacteria( culture), waweza nunua yoghurt ya kikombe ukageuza ndio culture yako. weka hiyo yoghurt kwenye hayo maziwa halafu koroga vizuri, halafu huo mchanganyiko uweka kwenye chumba maalum chenye nyuzi joto 42c. baada ya masaa matatu na kuendelea angalia yoghurt yao.
Nikampuni kutoka Kenya Wanauza kimea ambacho kina bacteria special kwa ajili yakutengenezea yogurt, packet 1 inauzwa 20 ila unatengeneza yogurt nyingi sana kwa hyo 1 tu.Wanashughulika na nini?
bora umeeleza vizuri maana huyu bibie alishatulisha matango mwenyewe nikashangaa hiyo formula yake ni ya mtindi au yorgut ila nilikausha tu maana huku ukiongea unaonekana mbaya .Yoghurt ni tofauti na mtindi, hasa wakati wa kuwawezesha bacteria kufanya uwe mtindi au iwe yoghurt, Bacteria wa mtindi wanaweza kuufanya mtindi ukawa mtindi kwa masaa kuanzia 16 katika room temperature, ukichukulia hata kwetu tz room temp ndio hio kuanzia 25c kuendelea. wakati kwa yoghurt inabidi uwe na chumba maaluum cha kuhifadhi joto la nyuzi 40C hadi 43C kwa masaa kuanzia matatu.
KWA YOGHURT.cha msingi chukua maziwa mabichi yachemshe huku ukiyakoroga, hakikisha yamechemka. halafu yapoze hadi nyuzi joto 42c, kama huna bacteria( culture), waweza nunua yoghurt ya kikombe ukageuza ndio culture yako. weka hiyo yoghurt kwenye hayo maziwa halafu koroga vizuri, halafu huo mchanganyiko uweka kwenye chumba maalum chenye nyuzi joto 42c. baada ya masaa matatu na kuendelea angalia yoghurt yao.
umeeleza jinsi ya kutengeneza mtindi mamieJamani kuna watu wananichekesha mpk mbavu zauma,hahaha sichukulii jinsi ulivo,mana io kauli yako tu[emoji23]nkikutafsir nahis ntakufa kwa kucheka eti muongo mkubwa ww hahaha,ww muongo mdg au muongo kifupi nyundo,ungeelezea ww ati inavotengezwa kuliko kukaa kukenua maneno eti uongo,sasa si uelezee umekakamaa tu kama nyaya ya umeme[emoji23]na kauli iyoiyo,elezaa sasa inavotengezwa,ktk comment zote zilizocommentiwa umu ni mm tu nmejaribu kutoa ushirikiano kwa nnachokijua,sasa ww unaelalamika uongo uongo elezea ww sasa tukuskie unavotengezaga,na uyo mwenzako anaesoma kuna utofaut wa yoghut na mtindi aje apa aelezee kulko kuleta maneno mia wakat jibu lipo.[emoji23]umenifurahisha sana muongo mdg,mie muongo mkubwa angalau nmejitahid kwa maelezo
unatengenezaje mkuu?Mimi nimetengeneza yoghurt kwa mda wa miaka 6 na si hapa
Labda ueleze wapi nimekosea. kusudi nikushushia zaidi nondo.Mwendo ugimbi umekosea kidogo sanA
AsanteNikampuni kutoka Kenya Wanauza kimea ambacho kina bacteria special kwa ajili yakutengenezea yogurt, packet 1 inauzwa 20 ila unatengeneza yogurt nyingi sana kwa hyo 1 tu.
Wanauza pia Strawberry Vanilla ladha nyingi wanazo yani wanadeal na mambo mengi.
Ningekua mtaalam ningekueleza ila ni kitu naona watu wanafanya.