Msaada:Namtafuta dokta

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
5,636
Reaction score
6,178
Anaitwa Dr. Alice,ni mtaalamu wa tiba mbadala kwa kutumia vyakula na matunda.Nilipata kutizama kipindi chake Star TV ila nilishindwa "timing" katika kuchukua namba zake,mwenye contacts za huyu mama anisaidie wakuu.
 
Daah!Wakuu mbona kimya!
 
Wapigie simu star tv watakupatia namba yake. Unashindwa kupata namba ya star tv?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…