Msaada: Namtafuta msimamizi wa mirathi au ndugu yeyote wa Sabetha Mwambenja

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Habari wanajukwaa,

Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank).

Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba aniunganishe naye au kama kuna mtu anajua ni wapi nianzie kuwapata hawa ndugu tafadhari naomba msaada.

Pia soma > TANZIA - Mama Sabetha John Mwambenja afariki dunia
 
Aisee..hujapata tu..basi Kama vipi fanya Kama huo ndio urithi wako .aisee..ama Kama aliwambia ndugu zake..watakutafuta
 
Habari wanajukwaa,

Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank).

Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba aniunganishe naye au kama kuna mtu anajua ni wapi nianzie kuwapata hawa ndugu tafadhari naomba msaada.

Pia soma > TANZIA - Mama Sabetha John Mwambenja afariki dunia
Fika bank yake, iliyokuwa ofisi hake. Watakupa details zote utakazohitaji maana lzm kuna atakayekuja kufuatilia ya marehemu
 
Habari wanajukwaa,

Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank).

Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba aniunganishe naye au kama kuna mtu anajua ni wapi nianzie kuwapata hawa ndugu tafadhari naomba msaada.

Pia soma > TANZIA - Mama Sabetha John Mwambenja afariki du
Habari wanajukwaa,

Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank).

Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba aniunganishe naye au kama kuna
Habari wanajukwaa,

Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank).

Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba aniunganishe naye au kama kuna mtu anajua ni wapi nianzie kuwapata hawa ndugu tafadhari naomba msaada.

Pia soma > TANZIA - Mama Sabetha John Mwambenja afariki dunia
Mimi mwanae na ujumbe wako tumeupata naomba tutafutane. Asante. Nsubisi Mwambenja
 
Nenda Mbeya sehemu inaitwa Kiwira-Mwankenja iko barabarani kabla hujafika Tukuyu Mjini, au Mtafute Member wa humu Utukufu Mwanjisi hapo ndio kwao na baadhi ya wadau wengine wa Kiwira, Enzi hizo niliwahi ishi hapo na baba yangu akiwa Mwalimu hapo. Daah RIP Mwamba Sabetha this Mamaa made her own history hasa kwenye ishu za misiba ya familia yake. Umenikumbusha past yangu. Mungu wa Rehema nizidishie uhai sikuwahi kumuona ila story zake za mafanikio zilinihamasisha bidii ya kusoma na kufika hapa nilipo japo si sekta ya fedha na uchumi, Asante Mama nenda Salama you made us proud. On my behalf and other mighty comrade asante sana.
 
Mimi nilimfahamu kupitia gazeti la bang nikatokea kumpenda
 
Mimi mwanae na ujumbe wako tumeupata naomba tutafutane. Asante. Nsubisi Mwambenja
Daah wewe jamaa upo duuh enzi hizo tukicheza na akina gwakisa karibu na kwakina mwanjoka Pole kwa msiba comrade, anyway i was younger than you. Rika ya akina Gwantwa na akina Ganza wadogo
 
Habari wanajukwaa,

Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank).

Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba aniunganishe naye au kama kuna mtu anajua ni wapi nianzie kuwapata hawa ndugu tafadhari naomba msaada.

Pia soma > TANZIA - Mama Sabetha John Mwambenja afariki dunia
Ulikuwa unafanya nae kazi kisirisiri? Hakuna mtu unayemfahamu hapo bank?
 
Daah wewe jamaa upo duuh enzi hizo tukicheza na akina gwakisa karibu na kwakina mwanjoka Pole kwa msiba comrade, anyway i was younger than you. Rika ya akina Gwantwa na akina Ganza wadogo
I appreciate it brethren. Asante sana kwa salamu
 
Back
Top Bottom