Fika bank yake, iliyokuwa ofisi hake. Watakupa details zote utakazohitaji maana lzm kuna atakayekuja kufuatilia ya marehemuHabari wanajukwaa,
Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank).
Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba aniunganishe naye au kama kuna mtu anajua ni wapi nianzie kuwapata hawa ndugu tafadhari naomba msaada.
Pia soma > TANZIA - Mama Sabetha John Mwambenja afariki dunia
Nimeshangaa pia...hahahaMkurugenzi wa benki anatafutwa kwenye mitandao, hizi benki Sasa...duh
Habari wanajukwaa,
Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank).
Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba aniunganishe naye au kama kuna mtu anajua ni wapi nianzie kuwapata hawa ndugu tafadhari naomba msaada.
Pia soma > TANZIA - Mama Sabetha John Mwambenja afariki du
Habari wanajukwaa,
Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank).
Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba aniunganishe naye au kama kuna
Mimi mwanae na ujumbe wako tumeupata naomba tutafutane. Asante. Nsubisi MwambenjaHabari wanajukwaa,
Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank).
Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba aniunganishe naye au kama kuna mtu anajua ni wapi nianzie kuwapata hawa ndugu tafadhari naomba msaada.
Pia soma > TANZIA - Mama Sabetha John Mwambenja afariki dunia
Pole kwa kumpoteza Mama don!Mimi mwanae na ujumbe wako tumeupata naomba tutafutane. Asante. Nsubisi Mwambenja
Nenda Mbeya sehemu inaitwa Kiwira-Mwankenja iko barabarani kabla hujafika Tukuyu Mjini, au Mtafute Member wa humu Utukufu Mwanjisi hapo ndio kwao na baadhi ya wadau wengine wa Kiwira, Enzi hizo niliwahi ishi hapo na baba yangu akiwa Mwalimu hapo. Daah RIP Mwamba Sabetha this Mamaa made her own history hasa kwenye ishu za misiba ya familia yake. Umenikumbusha past yangu. Mungu wa Rehema nizidishie uhai sikuwahi kumuona ila story zake za mafanikio zilinihamasisha bidii ya kusoma na kufika hapa nilipo japo si sekta ya fedha na uchumi, Asante Mama nenda Salama you made us proud. On my behalf and other mighty comrade asante sana.Habari wanajukwaa,
Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank).
Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba aniunganishe naye au kama kuna mtu anajua ni wapi nianzie kuwapata hawa ndugu tafadhari naomba msaada.
Pia soma > TANZIA - Mama Sabetha John Mwambenja afariki dunia
Mimi nilimfahamu kupitia gazeti la bang nikatokea kumpendaNenda Mbeya sehemu inaitwa Kiwira-Mwankenja iko barabarani kabla hujafika Tukuyu Mjini, au Mtafute Member wa humu Utukufu Mwanjisi hapo ndio kwao na baadhi ya wadau wengine wa Kiwira, Enzi hizo niliwahi ishi hapo na baba yangu akiwa Mwalimu hapo. Daah RIP Mwamba Sabetha this Mamaa made her own history hasa kwenye ishu za misiba ya familia yake. Umenikumbusha past yangu. Mungu wa Rehema nizidishie uhai sikuwahi kumuona ila story zake za mafanikio zilinihamasisha bidii ya kusoma na kufika hapa nilipo japo si sekta ya fedha na uchumi, Asante Mama nenda Salama you made us proud. On my behalf and other mighty comrade asante sana.
Daah wewe jamaa upo duuh enzi hizo tukicheza na akina gwakisa karibu na kwakina mwanjoka Pole kwa msiba comrade, anyway i was younger than you. Rika ya akina Gwantwa na akina Ganza wadogoMimi mwanae na ujumbe wako tumeupata naomba tutafutane. Asante. Nsubisi Mwambenja
Ulikuwa unafanya nae kazi kisirisiri? Hakuna mtu unayemfahamu hapo bank?Habari wanajukwaa,
Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank).
Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba aniunganishe naye au kama kuna mtu anajua ni wapi nianzie kuwapata hawa ndugu tafadhari naomba msaada.
Pia soma > TANZIA - Mama Sabetha John Mwambenja afariki dunia
Asante Sana. Mungu akubariki 🙏🏾Pole kwa kumpoteza Mama don!
I appreciate it brethren. Asante sana kwa salamuDaah wewe jamaa upo duuh enzi hizo tukicheza na akina gwakisa karibu na kwakina mwanjoka Pole kwa msiba comrade, anyway i was younger than you. Rika ya akina Gwantwa na akina Ganza wadogo