Msaada: Nanilihii yake Imelala ndani ghaflaaa...

Kama kakutana na bwawa la baridi kwanini isilale??
Ukute anae lalamika ndio mwenye problem
Huu ujanja wenu munawaharibu kisaikolojia customers wenu
Pump ilijaa uchafu c unajua mafuta ya kidebe
Huo ni upungufu wa nguvu
au mwamba hana hisia na bibie
mimi nilikuwa napiga demu ananivua ghafla ile dume au desire...akivua tu mimi nalala...maana ubongo unasoma network sio.....hivo asijekuwa alifanya kitu......pia aache kulalamika ajiongeze naye sio mtoto
njoo hukuu nimeleta hadithi mpya Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nitarud baadae
Tatizo hilo ni jana la kitaifa kwa wanaume wengi.
hiyo ni obvious na hii ni dalili kubwa sana ya maandalizi hafifu au mmoja kati yao alilazimishwa hakuwa willing na mgegedo
[emoji23][emoji23][emoji23]em ncheke nipite ivi[emoji117]
foreplay ilikuwa weak au shost yako kuna kitu alikifanya kikakata ghafla huo umeme wa TANESCO
Si useme tu imekutokea wewe sasa hivi!!!!!! Kwanini umsingizie rafiki yako!!!!
Ningekuwa ni mimi, ningescreenshot huko watsaap huko huku namba yake ikiwa inaonekana then ningeweka hapa Kama kiambatanishi ili tuamini.
njoo hukuu nimeleta hadithi mpya Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
 
Hata mimi natamani kukutukana, mana huna tofauti nae, umekuja kuleta uharo wake hapa kama alivyo kuletea wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…