Msaada: Naomba katuni ya kirikou

Msaada: Naomba katuni ya kirikou

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
IMG_7805.jpeg


wakuu habari ninahitaji katuni ya kirikuu (swahili version) kwa ajili ya watoto hawajawahi kuiona na wameniomba niwaletee.

Tafadhali kama kuna mwenye kunisaidia niipate nitashukuru.
 
nipo kimara hapa..
Mzee mbona ni simple sana, kwenye simu yako download application ya vidmate au videoder, then search hyo muvi yako utaikuta hko pamoja na nyingine nyingi, then kuna option ya kudownlod kwa quality mbalimbali kulingana na uhitaji wako. Case closed.
 
Back
Top Bottom