Brigadier Isaac
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 495
- 1,436
Habari za jioni , poleni na mahangaiko ya kutafuta riziki
Kama kichwa Cha habari juu kinavyojieleza hapo juu. Mimi binafsi nilikuwa na Wazo la kuanza kufuga kuku hawa wamayai kwa ajili ya biashara
Binafsi mawazo yangu ni kuanza na vifaranga sitini haya ni mawazo tu Sina experience yoyote na haya masuala Sijui gharama za kujenga banda, vifaranga,chakula yaani hata vitu vina vinavyohitajika Sijui Hapa nilipo Sijui chochote nipo na assumption tu.
Naomba msaada wa mawazo kwa wenye experience poleni kwa usumbufu.