Habar zenu, naomba kujua hivi wahitimu wote walomaliza course za afya wameshaenda intern? Maan course nilosoma mm hakuna aliyeenda sasa sjajua n sisi tuu au kuna wengine coz hatujui hatima yet n nin nisaidien wadau

Ni kama vile hauko serious kabisa kama kweli na ww ni msomi ambae hajui kozi gani na nani antakiwa kwenda intern? haya ndg pole sema umesoma kozi gani usaidiwe