Msaada: Naomba kufahamishwa namna ya kuwadhibiti mende

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Straight to the point.

When we were growing up, tulizoea kuona Yale ma mende makubwa makubwa flani ambayo in those times we thought they were originated from the lavatories.

Ila kwa sasa kuna hivi vi periplaneta americana vidogovidogo hivi vinasumbua balaa. Ukichek chini ya sofa au sehemu nyingine za maficho ni balaa.

Maajabu yake sasa mchana huwaoni, lala usiku halafu ingia sebuleni ghafla washa taa uone mambo vinakufanyia. Vinaanza kwanza toka nduki. Seriously mwenyewe kujua solution yao please.
 
Hivo vidude nilikua navyo Mbagala aisee. Kuna uwezekano umevipata kutoka kwa jirani yako ila kwako vimekuja kwasababu kuna mazingira rafiki. Punguza vitu ndani, usafi, usiache mabaki ya chakula usiku, na mzee baba OA au tafuta girl awe anasimamia show ya usafi.
 
Kuna dawa zinauzwa kwenye vipaketi vya kijani Tsh buku buku... Nunua mwaga sehemu tofautitofauti ndani utawaona wanakuja mbiombio kula na baada ya siku chache hutowaona tena.

Hivo vidawa huwa vinapendwa sana na mende ila wakila ndio mwisho wao... Utawakuta wamekufa kifo cha mende
 
Fanya usafi kisha itafute hii sumu ya Mende,hii ni powder unaweka pembeni yaani ukutani,hii kitu 100% itamaliza tatizo lako ila usisahau kufanya usafi na kutokubakisha mabaki ya chakula ndani.

Screenshot_20210618-122817_Google.jpg
 
Straight to the point.

When we were growing up, tulizoea kuona Yale ma mende makubwa makubwa flani ambayo in those times we thought they were originated from the lavatories.

Ila kwa sasa kuna hivi vi periplaneta americana vidogovidogo hivi vinasumbua balaa. Ukichek chini ya sofa au sehemu nyingine za maficho ni balaa.

Maajabu yake sasa mchana huwaoni, lala usiku halafu ingia sebuleni ghafla washa taa uone mambo vinakufanyia. Vinaanza kwanza toka nduki. Seriously mwenyewe kujua solution yao please.
Nyumba ni mwanamke
 
Usiache taka za vyakula ndani, usiache vyombo vichafu kwenye sink, piga dawa ya mbu na wadudu atleast mara 1 kwa mwezi(Nyumba nzima).
 
Kuna dawa zinauzwa kwenye vipaketi vya kijani Tsh buku buku... Nunua mwaga sehemu tofautitofauti ndani utawaona wanakuja mbiombio kula na baada ya siku chache hutowaona tena.

Hivo vidawa huwa vinapendwa sana na mende ila wakila ndio mwisho wao... Utawakuta wamekufa kifo cha mende
Nakazia hapa,
Ile dawa kiboko,

Mchina saluti sana.
 
Straight to the point.

When we were growing up, tulizoea kuona Yale ma mende makubwa makubwa flani ambayo in those times we thought they were originated from the lavatories.

Ila kwa sasa kuna hivi vi periplaneta americana vidogovidogo hivi vinasumbua balaa. Ukichek chini ya sofa au sehemu nyingine za maficho ni balaa.

Maajabu yake sasa mchana huwaoni, lala usiku halafu ingia sebuleni ghafla washa taa uone mambo vinakufanyia. Vinaanza kwanza toka nduki. Seriously mwenyewe kujua solution yao please.
Fanya fumigation kwenye mazingira yako kila baada ya miezi mitatu, pia hakikisha nyumba yako ni safi muda wote, mende wanapenda mazingira machafu
 
Back
Top Bottom