donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Mkuu tatizo sio usafi. Sijui wanaingiajeUsafi. Usafi. Usafi. Nimeandika mara ^tar-two^ Mdudu pekee anayetakiwa kuwa ndani ya nyumba yako ni fresh molecules za oksijeni.
Sikupingi mkuuNdo faida ya kuoa mkuu. Nyumba yake mwanamke.
Hapo solution ni usafi,manake hata ukipiga dawa ikiisha watarud tena kama hapo si pasafi
Mwambie shem awe anakutembelea angalau kila wikend kwa ajili ya usafi. Najua kwa wewe hukosi kuwa nao wawili watatu, wapange kwa zamu.Aisee kweli mkuu
Nyumba ni mwanamkeStraight to the point.
When we were growing up, tulizoea kuona Yale ma mende makubwa makubwa flani ambayo in those times we thought they were originated from the lavatories.
Ila kwa sasa kuna hivi vi periplaneta americana vidogovidogo hivi vinasumbua balaa. Ukichek chini ya sofa au sehemu nyingine za maficho ni balaa.
Maajabu yake sasa mchana huwaoni, lala usiku halafu ingia sebuleni ghafla washa taa uone mambo vinakufanyia. Vinaanza kwanza toka nduki. Seriously mwenyewe kujua solution yao please.
Nakazia hapa,Kuna dawa zinauzwa kwenye vipaketi vya kijani Tsh buku buku... Nunua mwaga sehemu tofautitofauti ndani utawaona wanakuja mbiombio kula na baada ya siku chache hutowaona tena.
Hivo vidawa huwa vinapendwa sana na mende ila wakila ndio mwisho wao... Utawakuta wamekufa kifo cha mende
Hizi sikuhizi zinachakachuliwaFanya usafi kisha itafute hii sumu ya Mende,hii ni powder unaweka pembeni yaani ukutani,hii kitu 100% itamaliza tatizo lako ila usisahau kufanya usafi na kutokubakisha mabaki ya chakula ndani.
View attachment 1822488
Hii ndio mwisho waoFanya usafi kisha itafute hii sumu ya Mende,hii ni powder unaweka pembeni yaani ukutani,hii kitu 100% itamaliza tatizo lako ila usisahau kufanya usafi na kutokubakisha mabaki ya chakula ndani.
View attachment 1822488
Hii style ya kufa kwa mende; ni kwanini akifa lazima abinjuke juu chini chini juu?????????????Utawakuta wamekufa kifo cha mende
Hatimaye mmekiri, eehe!??? ^Tutaelewana tu^ in Shangazi's voice 🙂Nyumba ni mwanamke
Fanya fumigation kwenye mazingira yako kila baada ya miezi mitatu, pia hakikisha nyumba yako ni safi muda wote, mende wanapenda mazingira machafuStraight to the point.