Msaada: Naomba kufahamishwa namna ya kuwadhibiti mende

Mwite mmoja na umwambie kwa lugha kistaarabu tu kuwa wanatakiwa kuhama hivyo awataarifu na wenzake. Wape na muda kama wiki 2 ili wapate nafasi ya kuhamisha familia zao. Mende ni waelewa naamini watakuelewa na wataondoka wenyewe.

Wakigoma wapeleke mahakamani.
 
Hata Kama ni msafi jitahidi kumwaga dawa kwenye shimo la maji ya vyombo jikoni ndo wanazaliana huko.
 
Powder tu hii wanayopaka wanawake inaondoa kabisa mende
 
Mabaki ya chakula yanasababisha mende na hasa kama unakula chakula kwenye makochi.
 
Ndo faida ya kuoa mkuu. Nyumba yake mwanamke.

Hapo solution ni usafi,manake hata ukipiga dawa ikiisha watarud tena kama hapo si pasafi
Unaongelea Hawa wanawake walevi tunaoshinda nao sehemu za starehe na wwnakunywa pombe kushinda baba zao ? Nyumba ni usafi tu iwe ya mwanaume au mwanamke, Hawa wanawake wa siku hizi mzee utaishia kujifulia kila kitu.

Kuna mmoja humu alikuwa anasimulia anavyoipenda Kvant duh nikaona basi tumekwisha.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pole mkuu
Kosa la mmoja sio wote,kuna wengine wasafi mno hujakutana nao tu
 
hiyo fursa mkuu,Kama wapo hapo kwako ,waandalie mahali ambapo unaweza ukawavuna kirahisi.wanauzwa Bei ghari Sana hao.
 
Fanya usafi kisha itafute hii sumu ya Mende,hii ni powder unaweka pembeni yaani ukutani,hii kitu 100% itamaliza tatizo lako ila usisahau kufanya usafi na kutokubakisha mabaki ya chakula ndani.

View attachment 1822488
Hii dawa ni nzuri sana mende hawachomoki hapo,ukitaka kuwatokomeza kabisa ,kabla ya kuweka hiyo dawa hakikisha hupiki chakula au huleto chakula hapo ndani kwa siku nne,namaanisha ukale hotelini,halafu usiache maji yaliyowazi funika au yaondoe,baada ya hizo siku nne wawekee hiyo dawa uliyoonyeshwa hapo na mdau kwenye kona zao,hakika utawamaliza wote.
 
Sumu namba moja ya mende ni usafi wa mara kwa mara wa nyumba yako
 
Jina la dawa tafadhali
 
Na mimi nilitaka kusema kama wako sehemu yote mpaka kwa majirani, kuwadhibiti vigumu hapo.

Utadhibiti kiasi kwa usafi, lskini wanaweza kuja kutoka kwa jirani.
 
Kunguni hao mjuba endelea kusema watoto wa mende tulia tu wakuonyeshe show
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…