Msaada: Naomba kufahamishwa sifa za mdhamini wakati wa kuomba kazi kwenye CV

Wadhamini(Referees) unawaandika kwenye CV mwishoni kabla hujafanya maombi ya kazi.

Ili CV ikamilike miongoni mwa mambo muhimu ni hao Wadhamini
Uh samahani
Nilimaanisha kwamba.

Tayari mimi nimeshatuma CV yangu.

Sasa ndio swali langu ni kuwa wadhamini watatafutwa au kuuliziwa kuhusu mimi ni baada ya kufuzu Usaili au hata kabla.?

Samahani kwa usumbufu.
 
Asante kaka,

Nitakuja PM. Ubarikiwe
 
Uh samahani
Nilimaanisha kwamba.

Tayari mimi nimeshatuma CV yangu.

Sasa ndio swali langu ni kuwa wadhamini watatafutwa au kuuliziwa kuhusu mimi ni baada ya kufuzu Usaili au hata kabla.?

Samahani kwa usumbufu.
Kwenye hayo maombi ambayo ushatuma CV haina wadhamini, usitarajie kuitwa(shortlist) labda mwajiri awe ndugu yako.

Sasa rekebisha hilo kosa, weka wadhamini kwenye CV kwa matumizi ya baadae ukitaka kuapply tena
 
Sijawahi fanya hivyo.

Shukurani
 
Mkuu

Kwema.? PM yako imefungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…