Msaada: Naomba kufahamishwa ubora wa Toyota ISIS

kabwando

Member
Joined
May 2, 2016
Posts
7
Reaction score
4
Ndugu wana JF Natumaini mpo bukheri wa afya njema. Tafadhari naomba msaada wa kufahamishwa ubora wa Toyota ISIS hasa uimara,upatikanaji wa vipuri, ulaji wa mafuta na kadhalika.Nimatumaini yangu nitapata msaada na kuelimishwa zaidi juu ya aina hii ya gari. NAOMBA KUWASILISHA .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…