dali kimoko
Senior Member
- Jan 25, 2021
- 114
- 139
hizo ndo kejeli wengine hatuna simu janja, kama huna jibu la walipo kaa kimya au ndo tujue km unajua kutumia gugu ?Don't you have Google map..?
Kwani Jf wanaingia bila internet??hizo ndo kejeli wengine hatuna simu janja, kama huna jibu la walipo kaa kimya au ndo tujue km unajua kutumia gugu ?
soma thread. nimesema hapa city center, najua makao makuu ni mwenge.mji gani?
anyway in dar wapo mwenge bamaga karibu na startimes........
Walahi wana jf mnastress maana komenti yangu ya kawaida tu lkn inavyojibiwa utafikiri nimemtukana mtu..😂hizo ndo kejeli wengine hatuna simu janja, kama huna jibu la walipo kaa kimya au ndo tujue km unajua kutumia gugu ?
Ni kama vile alikuwa anasubiri komenti ambayo hataipenda ili ashushe hasira zakeWalahi wana jf mnastress maana komenti yangu ya kawaida tu lkn inavyojibiwa utafikiri nimemtukana mtu..[emoji23]
Mkuu si ungesema tu kuwa huna simu janja binafsi Mara nyingi tu Google map imekuwa msaada mkubwa sana ni hivyo tu mkuu take it easy.
Nachojiuliza ni huko TBC aendako watakiona leo..🤣Ni kama vile alikuwa anasubiri komenti ambayo hataipenda ili ashushe hasira zake
Wamehamia DodomaNaomba msaada kwa anaejua ofisi ya TBC hapa city centre wapo wapi?
Zamani walikua Zanaki Street, ila naambiwa wamehama ila sijui wapi, nataka kutoa tangazo, please.
Sitaki kejeli na mapovu. Ka huna jibu kaa kimya.
Huyu nae sijuu ana stress za nn? Watu wanamjibu vzr anawafokea sijui kafokonyolewa usiku
Walahi wana jf mnastress maana komenti yangu ya kawaida tu lkn inavyojibiwa utafikiri nimemtukana mtu..[emoji23]
Mkuu si ungesema tu kuwa huna simu janja binafsi Mara nyingi tu Google map imekuwa msaada mkubwa sana ni hivyo tu mkuu take it easy.
Yuaja kucheza na komenti yako..😅Ukiona mtu ni mkali bila sababu huenda hajala[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninamsubiria nami niko kishari leoYuaja kucheza na komenti yako..[emoji28]
Mkuu nasubiri TBC hapo sasa hivi wataandikia kichwa cha habari "Kimeumana TBC twafa!!" 🤣Ninamsubiria nami niko kishari leo
Bado anatafuna mihogo akimaliza aje hapaMkuu nasubiri TBC hapo sasa hivi wataandikia kichwa cha habari "Kimeumana TBC twafa!!" [emoji1787]
Subiri zamu yako..[emoji28]
wapo bamaga mkabala na baraza la mitihani au startimes au tazara jirani na hospital ta dar groupNaomba msaada kwa anaejua ofisi ya TBC hapa city centre wapo wapi?
Zamani walikua Zanaki Street, ila naambiwa wamehama ila sijui wapi, nataka kutoa tangazo, please.
Sitaki kejeli na mapovu. Ka huna jibu kaa kimya.