K Kadegree Member Joined Jan 14, 2013 Posts 46 Reaction score 10 Nov 19, 2014 #1 Habari zenu wakuu. Nina mpango wa kujenga nyumba eneo la MATARAWE NJOMBE MJINI. Nyumba ni ya vyumba 3 na sebule. Hivyo naomba kufahamu bei ya mabati ya MSAUZI. Natanguliza shukurani.
Habari zenu wakuu. Nina mpango wa kujenga nyumba eneo la MATARAWE NJOMBE MJINI. Nyumba ni ya vyumba 3 na sebule. Hivyo naomba kufahamu bei ya mabati ya MSAUZI. Natanguliza shukurani.
Bill of Quantity JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 1,233 Reaction score 407 Dec 28, 2014 #2 jamani hii thread ikapita bure bure? Mi mwenyewe nahitaji details za hii kitu.:becky:
NetworkEngineer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,974 Reaction score 1,210 Dec 28, 2014 #3 HIV huwa yanaringana ukubwa na Yale ya kawaida mepesi yenye migongo mwembamba
Vladimir Lenin JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 3,613 Reaction score 5,139 Dec 10, 2018 #4 Mpeni bei jamani wajuzi