Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela unayo au unataka uchambuzi tu?Mimi nataka Premio (ila si gari ya ndoto yangu). Mtakapochambua Murano, chambua na Premio
Una bei ganMimi nataka Premio (ila si gari ya ndoto yangu). Mtakapochambua Murano, chambua na Premio
Habari wana jamvi, baada ya kupambana nimeamua nijipongeze kwa kutaka kununua gari ya ndoto yangu ambayo ni Nissan Murano, sasa nimekuja hapa mnisaidie kabla sijafanya maamuzi. Uimara, ulaji wa mafuta na spare je haitanisumbua
Ahsanteni
Unataka mpya kabisa au used? Mi nipo hapa kukutafutia gari standardMimi nataka Premio (ila si gari ya ndoto yangu). Mtakapochambua Murano, chambua na Premio
Wazee wa mjini kazini.Unataka mpya kabisa au used? Mi nipo hapa kukutafutia gari standard
Cc Cog
Mnichek watsap 0683011003 tumalize biashara
Iko wapi gari hii
Mbona unajihamu mkuu?Mimi nataka Premio (ila si gari ya ndoto yangu). Mtakapochambua Murano, chambua na Premio
HatariMkuu Achana na ilo Murano.
Asante samahani lakini ungeniambia tatizo lake ni niniMkuu Achana na ilo Murano.
Je kuna changamoto kubwa uliyokutana nayoNissan murano...bonge moja la gari,naongea kitu ambacho ninacho na ndo gari natembelea, uzuri wa nissan ukifunga spear mpya inakuwa mkataba, transimission oil ipo ya kwake tu ni laki moja na ushehe,na akat zingine za toyota ni elfu ngapi huko sijui
Nakusikiliza mkuuTeremsha mkuu