Msaada: Naomba kufahamu machache kuhusu Nissan Murano

Cog

Member
Joined
Mar 18, 2018
Posts
95
Reaction score
200
Habari wana jamvi, baada ya kupambana nimeamua nijipongeze kwa kutaka kununua gari ya ndoto yangu ambayo ni Nissan Murano, sasa nimekuja hapa mnisaidie kabla sijafanya maamuzi. Uimara, ulaji wa mafuta na spare je haitanisumbua

Ahsanteni.

Nissan Murano
 
Mimi nataka Premio (ila si gari ya ndoto yangu). Mtakapochambua Murano, chambua na Premio
 
Wanasema Nissan ni shipa.. Jipange mzee ila kama una hela ya mawazo achana nayo!
 
Habari wana jamvi, baada ya kupambana nimeamua nijipongeze kwa kutaka kununua gari ya ndoto yangu ambayo ni Nissan Murano, sasa nimekuja hapa mnisaidie kabla sijafanya maamuzi. Uimara, ulaji wa mafuta na spare je haitanisumbua

Ahsanteni

Hii gari ni msiba wa kihindi.
 
Mimi nataka Premio (ila si gari ya ndoto yangu). Mtakapochambua Murano, chambua na Premio
Unataka mpya kabisa au used? Mi nipo hapa kukutafutia gari standard

Cc Cog

Mnichek watsap 0683011003 tumalize biashara
 
Nissan murano...bonge moja la gari,naongea kitu ambacho ninacho na ndo gari natembelea, uzuri wa nissan ukifunga spear mpya inakuwa mkataba, transimission oil ipo ya kwake tu ni laki moja na ushehe,na akat zingine za toyota ni elfu ngapi huko sijui
 
Kama gari ni mbovu why watengeneze
Wabaya wamiliki sio watengenezaji
 
Nissan murano...bonge moja la gari,naongea kitu ambacho ninacho na ndo gari natembelea, uzuri wa nissan ukifunga spear mpya inakuwa mkataba, transimission oil ipo ya kwake tu ni laki moja na ushehe,na akat zingine za toyota ni elfu ngapi huko sijui
Je kuna changamoto kubwa uliyokutana nayo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…