Msaada: Naomba kufahamu machache kuhusu Nissan Murano

Murano? Hapana kwa kweli mara mia Xtrail au Dualis you can thank me later.
 
Hata mie natamani sana Nissan Murano.... Dadavueni point zinazoeleweka sio mtu anasema oooo mara ni msiba wa kihindi - fafanua basi maana hatujui hata hao wahindi sijui wanaliaje! mara uwe na hela - hela zipoooo ndio maana mtu kawaza kununua gari...... jamaniiii toeni pointi kama huna achaaaaaaa
 
Nissan Murano kizazi Cha kwanza zinasumbua mfumo Wa gia box [emoji3514][emoji3514][emoji3514]
Hata hivyo kutatua tatizo Hilo tumia oil inayotakiwa na kufanya service Kwa wakati
Tofauti na hapo hazina tatizo
 
Kwakua sio baby Walker mimi nakushauri ununue tu ,ubora wa gari ni wewe unavyoitunza
 
Nissan Murano kizazi Cha kwanza zinasumbua mfumo Wa gia box [emoji3514][emoji3514][emoji3514]
Hata hivyo kutatua tatizo Hilo tumia oil inayotakiwa na kufanya service Kwa wakati
Tofauti na hapo hazina tatizo

Asante sana! tunataka maushauri kama haya!
 
Sema Murano ina shida gani???
Kwanza kabisa ulaji wa mafuta, sijawahi ona Nissan inakula wese kama Murano, pili upatikanaji wa spare hasa ili toleo jipya maana vifaa vyake haviingiliani na ina umeme mwingi sana na pia gear box ukiweka oil tofauti kidogo imekula kwako, swala la comfortability iko vizuri sana na speed
 

Nunua nissan murano ziko vizuri tuu hata kwenye ulaji wa wese ni mzuri sana
Mwaka wa 3 huu naimiliki
Fanya service on time
Mimi ninayo ila ya mwaka 2006 na 4cylinder cc 2500
 
Ingia GOOGLE utakuta kila kitu
 
Asante sana kwa ushauri mzuri




Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…