Msaada: Naomba kujibiwa maswali yangu kuhusu namna ya kuanzisha biashara ya chakula

Joined
Aug 5, 2017
Posts
15
Reaction score
11
Habarini wana JF nina mtaji wa sh laki tano (500000) nimefikiria biashara ya kuuza chakula yaan kwani watu wanadai inalipa sana.
Ila kwa kua sina uzoefu nayo hivyo nmejikuta nna maswal meng kuhusu mtaji wang km unatosha au laa?
Na je nimefanya chaguo sahihi au laa?
Pia mchanganuo wa biashara hii unakuaje.
Nkaona sio vibaya niwashirikishe wajuzi na wazoefu wa hii kazi.
Msaada wenu muhim tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…