Msaada: naomba kujua Ada vyuo vikuu vya serikali

Msaada: naomba kujua Ada vyuo vikuu vya serikali

Scolari

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
1,721
Reaction score
2,383
Wasalaam wakuu......
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza waungwana naomba kujuzwa Ada kwa vyuo vikuu vya serikali ni kiasi gani kwa undergraduate degree program yaani ile tunasemaga digrii
 
Hujasema level
Hujasema kozi
Ainisha kila kitu upewe majibu mujarabu mkuu.
 
Kumbe hakuna tofauti na vyuo vya private
Nadhani private itakuwa bei juu kidogo... Hiyo bei ya 1.8m ni maximum... Ila standard kabisa huwa ni 1.5m mkuu, serikali iliwapa masharti vyuo binafsi namna ya kuweka ada ili watu wote wasome,
 
Naomba kujua kama TCU washafungua dirisha la udahir kwa Mwaka wa Masomo 2023-2024 wakuu
 
Wasalaam wakuu......
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza waungwana naomba kujuzwa Ada kwa vyuo vikuu vya serikali ni kiasi gani kwa undergraduate degree program yaani ile tunasemaga digrii
Ina range 1M -1.3M hutegemea na programme unayosoma.
 
Back
Top Bottom