Msaada: Naomba kujua duka la vifaa original vya umeme (Tronic) jijini Mwanza

Msaada: Naomba kujua duka la vifaa original vya umeme (Tronic) jijini Mwanza

KISHINDO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
2,165
Reaction score
1,906
Habari za pilikapilika za majukumu ya siku ya leo.

Naamini siku inaenda vyema kwako.

Kama kichwa cha habari kinavyosema, naomba MSAADA wa kujua lilipo duka zuri la vifaa vya UMEME (TRONIC) mkoani Mwanza.

Natanguliza shukran zangu za dhati.

Ahsanteni sana!
 
Back
Top Bottom