Heshima kwenu wakuu. Natamani kufika Nairobi Christmas hii.Bahati mbaya sijawahi kufika huko. Kwa yeyote mwenye uzoefu, naomba kufahamu yafuatayo;-
1.Gharama za ordinary hotels pale Nairobi kwa siku
2.Gharama za ordinary meals
Nawasilisha kwenu wakuu.Naomba msaada wenu please