Msaada: Naomba kujua gharama za maisha mkoa wa Mtwara

Msaada: Naomba kujua gharama za maisha mkoa wa Mtwara

DOTHRAK

Member
Joined
May 22, 2021
Posts
15
Reaction score
154
Wakuu salam..

Niende moja kwa moja kwenye mada nimepangwa field kituo cha TMA(mamlaka ya hali ya hewa) Mtwara. Naomba msaada kwa mtu aliepo huku anipe maelezo ya vitu kama malazi, ili nijue najipanga vipi.

Mfano bei ya vyumba karibu na eneo hilo, bei ya chakula etc.

Natanguliza shukrani .
 
Back
Top Bottom