Msaada naomba kujua jambo hili kuhusu kubadili Dola

Njia nzuri ya kutunza dollar ni kufungua account ya pesa za kigeni ila si kwa kuweka ndani utakuja kulia kilio cha kuku..
Imewahi kumkuta jamaa alihifadhi dollars 2000// kazitunza mwaka kwenda bank kumbe wakati zinamfikia yeye zilikuwa na muda mchache w kuexpire na yeye hakuwa analifaham hilo.

GOD is GOOD
 
chakii;
Hizi note huwa zinatolewa kwa series... Mfano hapo chini nimekuwekea series mbalimbali ya dola kumi ya Marekani... Kujua ni series ya wakati gani,angalia note yenyewe itakuwa imeandikwa mwaka.
Sisi tunapenda kutumia neno expire lakini si kwamba ndo inakuwa mwisho wake wakutumika...US hakuna kitu kama kuexpire kwa dollar,kule waweza tumia dollar yoyote ya series yoyote....Huku tunakoita kuexpire kunatokana na mabenki yetu na bureau de change kukubali dollars ambazo series zake ni recently... Mfano kuna kipindi Tz walikuwa wanakubali dollars za series ya 2004 kwenda mbele...So si vizuri saana kutunza dollar kwenye kibubu...Kuna mkuu hapo juu kapendekeza akaunti ya kufungua benki kama nia yako ni kuhifadhi dollar...Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
next time jaribu amana bank wanakuwaga na rate nzuri kuliko bank zote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa Mkuu Asante Saana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo miaka inahesabiwa toka ulipoishika wewe?? Utajuaje imebakiza miezi toka kwa alokupa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…