Mhenga2
Member
- Jul 14, 2017
- 66
- 26
Naomba kujua sheria ya ubomoaji majengo upoje? Je kama ni utanuzi wa bara bara kwamba halikuwepo hilo wazo mwanzo walipokua wanajenga watu sheria inasemaje? Na mwisho kama watu walijenga kwenye plan ya barabara tangu mwanzo hatua hii inachukuliwaje? Ni hayo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app