Heshima kwenu wakubwa,
Katika harakati za kutafuta gari ktk mitandao mbalimbali nimekutana na gari aina ya harrier kwenye mtandao wa beforward.jp(details zake ntaziweka hapa chini).Nilikua naomba kufahamishwa kwa uzoefu wenu hili gari litanigharim shilingi ngapi hadi kuliweka barabarani..nikimaanisha ushuru wa TRA na mambo mengine.nnatanguliza shukrani zangu
CAR DETAILS:
MODEL: TOYOTA HARRIER

- FOB $ 3086/-
- TOTAL PRICE(including freght) $4,640/-
| Ref No | BF147400 |
|---|---|
| Location | KOBE |
| Mileage | 122,482 |
| Model Code | GF-SXU10W |
| Registration Year/month | |
| Manufacture Year/month | 1999/1 |
| Version/Class | |
| Chassis # | SXU10-0017124 |
| Engine Size | 2,190cc |
| Engine Code | - |
| Drive | 2wheel drive |
| Ext. Color | Black |
| Steering | Right |
| Transmiss. | Automatic |
| Fuel | Gasoline/Petrol |
| Seats 5 | |