msaada naomba kujua shule nzur ya private zenye michepua ya sayansi

msaada naomba kujua shule nzur ya private zenye michepua ya sayansi

Juma Mfumya

New Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Nimejuta maana nimechaguliwa HGL wakat cnauwezo nayo na mkuu wa shule ana kataa kutoa uamisho
 
Huko Unakotaka Ndo Unataka Kuambulia Zero Ya Advance ! Ushaur;komaa Na Hyo Hyo HGL,utatoka Vzur Tu,kwan Hzo Science Mnazonga'nga'nia Wakat Hamzijui N Majanga Tupuuuuu!! Weng Wanalia Huku Kitaa Kujfanya Ma PCM,kufuata Mkumbo
 
Back
Top Bottom